sw_act_text_ulb/17/30.txt

1 line
301 B
Plaintext

\v 30 Kwa hiyo, Mungu alijifanyakutojali nyakati zile za ujinga, lakini sasa anaamuru watu wote kila mahali wapate kutubu. \v 31 Hii ni kwa sababu ameweka siku atakayo ihukumu dunia kwa haki kwa mtu ambaye aliyemchagua. Mungu ametoa ushahidi wa mtu huyu kwa kila mtu pale alipomfufua katoka kwa wafu."