sw_act_text_ulb/17/26.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 26 Kutoka kwa mtu mmoja, alifanya mataifa yote ya watu waishio juu ya uso wa dunia, baada ya kuamua majira na mipaka yao iliyowekwa katika maeneo walioishi, \v 27 ili wamtafute Mungu, na yamkini wamfikie na kumpata. Na kwa uhakika hayupo mbali na kila mmoja wetu.