sw_act_text_ulb/15/39.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 39 Kisha hapo kukatokea mabishano makubwa kwa hiyo walitengana, na Barnaba alimchukua Marko na kusafiri kwa meli mpaka Kipro, \v 40 Lakini Paulo alimchagua Sila na kuondoka, baada ya kukabidhiwa na ndugu katika neema ya Bwana. \v 41 Na alienda kupitia Shamu na Kilikia, akiimarisha makanisa.