sw_act_text_ulb/15/19.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 19 Hivyo basi, nimeamua, kwamba tusiwapatie shida watu wa Mataifa wamgeukiao Mungu; \v 20 lakini tutawaandikia kwamba wajiepushe mbali na uharibifu wa sanamu, tamaa za uasherati, na vilivyonyongwa, na damu. \v 21 Kutoka vizazi vya wazee kuna watu katika kila mji wahubirio na kumsoma Musa katika masinagogi kila Sabato."