sw_act_text_ulb/15/05.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 5 Lakini watu fulani walioamini, waliokuwa katika kundi la Mafarisayo, walisimama nakusema, "ni muhimu kuwatahiri na kuwaamuru waishike sheria ya Musa." \v 6 Hivyo mitume na wazee walikusanyika pamoja kuzingatia jambo hili.