sw_act_text_ulb/13/50.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 50 Lakini wayahudi waliwachochea waliojitoa na wanawake muhimu, pia na viongozi wa mji. Haya yalichochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na waliwatupa nje ya mipaka ya mji. \v 51 Lakini Paulo na Barnaba walikung'utia vumbi ya miguu yao. Kisha walienda kwenye mji wa Ikonia. \v 52 Na wanafunzi walijawa na furaha pamoja na Roho mtakatifu.