sw_act_text_ulb/13/35.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 35 Hii ndiyo sababu amesema pia katika zaburi nyingine, 'Hautaruhusu mtakatifu wako kuuona uozo.' \v 36 Kwa kuwa baada ya Daudi kutumikia mapenzi ya Mungu katika kizazi chake, alilala, alilazwa pamoja na baba zake, na mwili wake uliona uaharibifu, \v 37 Lakini aliyefufuliwa na Mungu hakuuona uharibifu.