sw_act_text_ulb/13/09.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 9 Lakini Sauli aliyeitwa Paulo, alikuwa amejazwa na Roho Mtakatikfu, akamkazia macho \v 10 na akasema "Ewe mwana wa Ibilisi, umejazwa na aina zote za udanganyifu na uovu. Wewe ni adui wa kila aina ya haki. Hautakoma kuzigeuza njia za Bwana, zilizonyooka, je utaweza?