sw_act_text_ulb/12/13.txt

1 line
389 B
Plaintext

\v 13 Alipobisha kwenye mlango wa lango, mtumishi mmoja msichana anayeitwa Roda akaja kufungua. \v 14 Alipotambua ni sauti ya Petro, kwa furaha akashindwa kuufungua mlango; badala yake, akakimbia ndani ya chumba; na kuwajulisha kuwa Petro amesimama mbele ya mlango. \v 15 Hivyo, Wakamwambia, "Wewe ni mwendawazimu" lakini alisisitiza kuwa ni kweli ni yeye. Wakasema "Huyo ni malaika wake."