sw_act_text_ulb/12/03.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 3 Baada yake kuona kwamba hili liliwapendeza Wayahudi, alienda kumkamata Petro pia. Hiyo ilikuwa katika siku za mikate isiyotiwa chachu. \v 4 Alipomkamata, akamweka gerezani na akamweka chini ya vikosi vinne vya askari ili kumlinda; alikuwa akitarajia kumpeleka kwa watu baada ya Pasaka.