sw_act_text_ulb/12/01.txt

1 line
146 B
Plaintext

\c 12 \v 1 Wakati huo mfalme Herode aliwatia mikononi baadhi ya watu wa kanisa ili apate kuwatesa. \v 2 Akamwuua Yakobo nduguye Yohana kwa upanga.