sw_act_text_ulb/11/01.txt

1 line
285 B
Plaintext

\c 11 \v 1 Sasa mitume na ndugu wale waliokuwa huko Yudea walisikia kuwa watu wa mataifa wamelipokea neno la Mungu. \v 2 Petro alipokuwa amepanda kwenda huko Yerusalemu, lile kundi la watu waliotahiriwa wakaanza kumkosoa; \v 3 Walisema, "Wajihusisha na watu wasiotahiriwa na kula nao!"