sw_act_text_ulb/10/44.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 44 Wakati Petro akiendelea kusema haya, Roho Mtakatifu akawajaza wote waliokuwa wakisikiliza ujumbe wake. \v 45 Watu waliokuwa kwa kundi la tohara la waumini - wale wote waliokuja na Petro- walishangazwa, kwa sababu ya karama ya Roho Mtakatifu aliyemwagwa pia kwa watu wa mataifa.