sw_act_text_ulb/08/06.txt

1 line
333 B
Plaintext

\v 6 Umati wa watu ulikuwa makini kufuatilia kwa Karibu kilichokuwa kinasemwa na Filipo; kwa nia moja walimsikia, na wakaona ishara alizokuwa akifanya. \v 7 Pepo wachafu waliwatoka wengi waliokuwa wamepagawa, huku wakilia kwa Sauti kuu na wengi waliokuwa wamepooza na kulemaa waliponywa. \v 8 Na kulikuwa na furaha kubwa katika mji.