sw_act_text_ulb/05/33.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 33 Wajumbe wa baraza waliposikia hivi, walishikwa na hasira wakataka kuwaua mitume. \v 34 Lakini pharisayo aliyeitwa Gamalieli, mwalimu wa sheria, aliyeheshimiwa na watu wote, alisimama na kuwaamuru mitume watolewe nje kwa muda mfupi.