sw_act_text_ulb/05/26.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 26 Hivyo jemedari alienda pamoja na watumishi, na kuwarudisha, lakini bila ya machafuko, kwa sababu waliwaogopa kwamba watu wangeweza kuwapiga kwa mawe. \v 27 Walipokwisha kuwaleta, waliwaweka mbele ya baraza. Kuhani mkuu aliwahoji \v 28 akisema, "Tuliwaamuru msifundishe kwa jina hili, na bado mmeijaza Yerusalemu kwa fundisho lenu, na kutamani kuleta damu ya mtu huyu juu yetu."