sw_act_text_ulb/05/24.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 24 Sasa wakati nahodha wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia maneno haya, waliingiwa na wasiwasi mkubwa kuhusu nini kingeliwatokea kutokana na hilo. \v 25 Ndipo mtu mmoja akaja na kuwaambia, "Watu mliowaweka gerezani wamesimama hekaluni na wanafundisha watu."