sw_act_text_ulb/05/22.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 22 Lakini watumishi waliokwenda, hawakuwakuta gerezani, walirudi na kutoa taarifa, \v 23 "Tumekuta gereza limefungwa vizuri salama, na walinzi wamesimama langoni, lakini tulipolifungua, hatukuona mtu ndani."