sw_act_text_ulb/04/36.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 36 Yusufu, mlawi, mtu kutoka Kipro, alipewa jina la Barnaba na mitume (hiyo ikitafsiriwa, ni mwana wa kutia moyo). \v 37 Aliliuza shamba lake, na akaleta fedha, akaziweka chini ya miguu ya mitume.