sw_act_text_ulb/04/34.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 34 Hapakuwa na mtu yeyote miongoni mwao aliyepungukiwa na chochote, kwa sababu watu wote waliokuwa na hati za viwanja au nyumba, waliviuza na kuleta pesa ya vitu walivyokuwa wameuza \v 35 na kuviweka chini ya miguu ya mitume, na viligawanywa kwa kila mmoja kulingana na mahitaji yao.