sw_act_text_ulb/04/32.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 32 Idadi kubwa ya wale walioamini walikuwa na moyo mmoja na roho moja. Hakuna hata mmoja wao aliyesema kwamba chochote alichomiliki kilikuwa cha kwake mwenyewe, badala yake walikuwa na vitu vyote shirika. \v 33 Kwa nguvu kubwa mitume walikuwa wakiutangaza ushuhuda wao kuhusu ufufuo wa Bwana Yesu, na neema kubwa ilikuwa juu yao wote.