sw_act_text_ulb/04/29.txt

1 line
385 B
Plaintext

\v 29 Sasa, Bwana, yaangalie matisho yao, na ukawajaalie watumishi wako kulinena neno lako kwa ujasiri wote. \v 30 Nyoosha mkono wako kuponya, ishara na maajabu viweze kutokea kupitia jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu." \v 31 Baada ya kuwa wamemaliza kuomba, eneo walipokuwa wamekusanyika pamoja likatikiswa, na wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, na kunena neno la Mungu kwa ujasili.