sw_act_text_ulb/04/23.txt

1 line
475 B
Plaintext

\v 23 Baada ya kuwaacha huru, Petro na Yohana walikuja kwa watu wao na wakawapasha habari yote ambayo makuhani wakuu na wazee walikuwa wamewaambia. \v 24 Walipoyasikia, walipaza sauti zao kwa pamoja kwa Mungu na kusema, "Bwana, wewe uliyeumba mbingu na dunia na bahari na kila kitu ndani yake, \v 25 Wewe ambaye ulinena kwa Roho Mtakatifu kupitia kwa kinywa cha mtumishi wako, baba yetu Daudi, 'Kwanini watu wa mataifa wamefanya ghasia, na watu wametafakari mambo yasiyofaa?'