sw_act_text_ulb/04/11.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 11 Yesu Kristo ni jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikata lakini ambalo limefanywa kuwa jiwe kuu la pembeni. \v 12 Hakuna wokovu katika mtu mwingine yeyote yule, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa watu, ambalo kwa hilo tunaweza kuokolewa."