sw_act_text_ulb/04/08.txt

1 line
457 B
Plaintext

\v 8 Kisha, Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, "Ninyi watawala wa watu, na wazee, \v 9 kama tunahojiwa siku ya leo kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa, na kwa namna gani mtu huyu aliponywa, \v 10 acha lijulikane kuwa hilo kwenu na kwa watu wote katika Israel kwamba huyu mtu ambaye anasismama mbele yenu akiwa mwenye afya kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye mlimsulubisha, lakini ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu.