sw_act_text_ulb/04/05.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 5 Hata ilipofika asubuhi siku iliyofuata, kwamba wakuu wao, wazee na waandishi, kwa pamoja walikusanyika Yerusalemu. \v 6 Anasi yule kuhani mkuu alikuwepo, na Kayafa, na Yohana, na Iskanda, na wote waliokuwa ni ndugu wa kuhani mkuu. \v 7 Walipokuwa wamewaweka Petro na Yohana katikati yao, waliwauliza, "Kwa uwezo gani, au kwa jina gani mmefanya hili?"