sw_act_text_ulb/01/21.txt

1 line
335 B
Plaintext

\v 21 Ni muhimu, kwa hiyo, kwamba mmoja wa wanaume ambao waliambatana nasi wakati wote Bwana Yesu alipotoka na kuingia kati yetu, \v 22 kuanzia kwenye ubatizo wa Yohana mpaka siku ile alipotwaliwa juu, awe shahidi wa ufufuo pamoja nasi. \v 23 "Wakaweka mbele wanaume wawili, Yusufu aitwaye Barsaba, ambaye pia aliitwa Yusto, na Mathia.