sw_act_text_ulb/01/17.txt

1 line
392 B
Plaintext

\v 17 Kwa kuwa yeye alikuwa mmoja wetu na alipokea fungu lake la faida katika huduma hii." \v 18 (Sasa mtu huyu alinunua eneo kwa kile alichokipokea kwa uovu wake na hapo alianguka akitanguliza kichwa, mwili ukapasuka na matumbo yake yote wazi yakamwagika. \v 19 Wote walioishi Yerusalemu walisikia kuhusu hili, hivyo eneo hilo wakaliita kwa lugha yao "Akeldama," kwamba ni "Shamba la Damu.")