sw_act_text_ulb/01/15.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 15 Katika siku zile Petro alisimama katikati ya hao ndugu, kama watu 120, akasema, \v 16 Ndugu, ilikuwa lazima kwamba maandiko yatimizwe, ambapo zamani Roho Mtakatifu alisema kwa kinywa cha Daudi kuhusiana na Yuda, ambaye aliwaelekeza wale waliomkamata Yesu.