sw_act_text_ulb/01/09.txt

1 line
465 B
Plaintext

\v 9 Bwana Yesu alipokwisha kuwa ameyasema haya, wakiwa wanatazama juu, Yeye aliinuliwa juu, na wingu likamkinga wasimwone kwa macho yao. \v 10 Wakati wanatazama mbinguni kwa makini akienda, ghafla, watu wawili walisimama katikati yao wamevaa mavazi meupe. \v 11 Walisema, "Enyi watu wa Galilaya, kwa nini mnasimama hapa mkitazama mbinguni?" Huyu Yesu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu akapaa juu mbinguni atarudi kwa namna ile ile kama mlivyomuona akienda mbinguni.