sw_act_text_ulb/01/04.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 5 \v 4 Alipokuwa akikutana pamoja nao, aliwaamuru wasiondoke Yerusalemu, lakini wasubiri kwa ajili ya ahadi ya Baba, ambayo alisema, "Mlisikia kutoka kwangu kwamba Yohana alibatiza kabisa kwa maji lakini mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu kwa siku chache."