sw_act_text_ulb/01/01.txt

1 line
404 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Kitabu cha zamani nilikiandika, Theofilo, nikisema yote Yesu aliyoanza kufanya na kufundisha, \v 2 mpaka siku ambayo Yeye alipokelewa juu. Baada ya kutoa amri kupitia Roho Mtakatifu kwa mitume aliokuwa amewachagua. \v 3 Baada ya mateso yake, Yeye alijiwasilisha kwao akiwa hai pia na vithibitisho vingi vikishuhudia. Kwa siku arobaini alijiweka wazi kwao, na alizungumza kuhusu ufalme wa Mungu.