\v 13 Walipoacha kuongea, Yakobo alijibu akisema, "Ndugu nisikilizeni. \v 14 Simoni ameelezea jinsi kwanza Mungu kwa neema aliwasaidia Mataifa ili kwamba ajipatie kutoka kwao watu kwa ajili ya jina lake.