\v 3 Kwa hiyo walikaa huko kwa muda mrefu, wakiongea kwa ujasiri kwa nguvu ya Bwana, huku akitoa ushahidi kuhusu ujumbe wa neema yake. Alifanya haya kwa kuwapa ishara na majaabu vifanywe kwa mikono ya Paulo na Barnaba. \v 4 Lakini watu wa mji waligawanyika: wengine upande wa Wayahudi, wengine pamoja na mitume.