\v 8 Sauli akainuka kutoka ardhini, na alipofungua macho yake, hakuweza kuona kitu, hivyo wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski. \v 9 Kwa siku tatu alikuwa haoni, naye hakula, wala kunywa.