\c 12 \v 1 Wakati huo mfalme Herode aliweka mikono juu ya baadhi ya watu wa kanisa ili apate kuwatesa. \v 2 Akamwuua Yakobo nduguye Yohana kwa upanga.