\v 48 Mataifa waliposikia hili, walifurahi na kulitukuza neno la Bwana. Wengi waliochaguliwa kwa uzima wa milele waliamini. \v 49 Neno la Bwana lilienea nchi ile yote.