\v 20 "Kwenye kitabu cha Zaburi imeandikwa, 'Ngoja eneo lake lifanwe kuwa mahame na asiruhusiwe hata mtu mmoja kuishi pale;' 'Acha mtu mwingine achukue nafasi yake ya uongozi.'