Thu Jun 30 2022 17:51:39 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-30 17:51:40 +03:00
parent 742cdb1cca
commit ffba460e13
1 changed files with 1 additions and 5 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\c 4 \v 1 Wakati Petro na Yohana walipokuwa wakizungumza na watu, makuhani na mlinzi wa hekalu na masadukayo waliwaendea. \v 2 Walikuwa wameudhika sana kwa sababu Petro na Yohana walikuwa wanawafundisha watu na kutangaza katika Yesu ufufuo kutoka kwa wafu. \v 3 Waliwakamata na kuwaweka gerezani hadi asubuhi iliyofuata, kwani tayari ilikuwa jioni. \v 4 Lakini watu wengi waliokuwa wamesikia ujumbe waliamini; na idadi ya wanaume waliokuwa wameamini walikuwa kama elfu tano.
=======
\c 4 \v 1 Wakati Petro na Yohana walipokuwa wakizungumza na watu, makuhani na mlinzi wa hekalu na masadukayo waliwajia. \v 2 Walikuwa wameudhika sana kwa sababu Petro na Yohana walikuwa wanafundisha watu na kutangaza katika Yesu ufufuo kutoka kwa wafu. \v 3 Waliwakamata na kuwaweka gerezani hadi asubuhi iliyofuata, kwani tayari ilikuwa jioni. \v 4 Lakini watu wengi waliokuwa wamesikia ujumbe waliamini; na idadi ya wanaume waliokuwa wameamini walikuwa kama elfu tano.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c
\c 4 \v 1 Wakati Petro na Yohana walipokuwa wakizungumza na watu, makuhani na nahodha wa hekalu na masadukayo waliwajia. \v 2 Walikuwa wameudhika sana kwa sababu Petro na Yohana walikuwa wanafundisha watu na kutangaza katika Yesu ufufuo kutoka kwa wafu. \v 3 Waliwakamata na kuwaweka gerezani hadi asubuhi iliyofuata, kwani tayari ilikuwa jioni. \v 4 Lakini watu wengi waliokuwa wamesikia ujumbe waliamini; na idadi ya wanaume waliokuwa wameamini walikuwa kama elfu tano.