Mon Jun 06 2022 18:43:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-06 18:43:25 +03:00
parent c7f4c8c1c4
commit fcfbb1d3ae
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Sasa ni kweli, mimi mwenyewe nilifikiria kwamba ningepisa kufanya mambo mengi dhidi ya jina la Yesu wa Nazareti. \v 10 Nilifanya haya katika Yerusalemu. Niliwafunga watakatifu wa Mungu wengi gerezani, na nilikuwa na mamlaka kutoka kwa wakuu wa makuhani kufanya hivyo; na wakati wanauawa, nilipiga kura dhidi yao. \v 11 Mara nyingi niliwaadhibu katika masinagogi yote na nilijaribu kuwafanya waikane imani yao. Nilikuwa na hasira sana juu yao na niliwafukuza hata katika miji ya ugenini.
\v 9 Sasa ni kweli, mimi mwenyewe nilifikiria kwamba ningepisa kufanya mambo mengi dhidi ya jina la Yesu wa Nazareti. \v 10 Nilifanya haya katika Yerusalemu. Niliwafunga watu wengi watakatifu wa Mungu wengi gerezani, na nilikuwa na mamlaka kutoka kwa wakuu wa makuhani kufanya hivyo; na wakati wanauawa, nilipiga kura dhidi yao. \v 11 Mara nyingi niliwaadhibu katika masinagogi yote na nilijaribu kuwafanya waikane imani yao. Nilikuwa na hasira sana juu yao na niliwafukuza hata katika miji ya ugenini.