Thu Jun 09 2022 05:59:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-09 05:59:43 +03:00
parent a182381f1a
commit ef0343b4bf
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 20 \v 1 Baada ya ghasia kumalizika, Paulo aliwaita wanafunzi na baada ya kuwatia moyo, aliwaaga na akaondoka kwenda Makedonia. \v 2 Naye akiishakupita mikoa hiyo na alikuwa akiwatia moyo waamuni, akaingia Uyunani. \v 3 Baada ya yeye kuwa pale kwa muda wa miezi mitatu, njama ziliundwa dhidi yake na Wayahudi alipokuwa akikaribia kusafiri kwa njia ya bahari kuelekea Shamu, hivyo aliazimu kurudi kupitia Makedonia.
\c 20 \v 1 Baada ya ghasia kumalizika, Paulo aliwaita wanafunzi na baada ya kuwatia moyo, aliwaaga na akaondoka kwenda Makedonia. \v 2 Naye akiishakupita mikoa hiyo na alikuwa akiwatia moyo waumini, akaingia Uyunani. \v 3 Baada ya yeye kuwa pale kwa muda wa miezi mitatu, njama ziliundwa dhidi yake na Wayahudi alipokuwa akikaribia kusafiri kwa njia ya bahari kuelekea Shamu, hivyo aliazimu kurudi kupitia Makedonia.