diff --git a/02/08.txt b/02/08.txt index 0862ff3..c7b2f83 100644 --- a/02/08.txt +++ b/02/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 Kwa nini sisi tunawasikia, kila mmoja kwa lugha zetu za kuzaliwa? \v 9 Waparthia na Wamedi na Waelamu, na hao waishio Mesopotamia, Uyahudi, na Kapadokia, na katika Ponto na Asia, \v 10 katika Frigia, Pamfilia, katika Misri, na sehemu ya Libya hata Kirene, na wageni kutoka Rumi, \v 11 Wayahudi na waongofu, Wakrete na Waarabu, tunawasikia wakizungumza katika lugha zetu kuhusu kazi za uweza wa Mungu." \ No newline at end of file +\v 8 Kwa nini inakuwa kwamba sisi tunawasikia, kila mmoja kwa lugha zetu za kuzaliwa? \v 9 Waparthia na Wamedi na Waelamu, na hao waishio Mesopotamia, Uyahudi, na Kapadokia, na katika Ponto na Asia, \v 10 katika Frigia, Pamfilia, katika Misri, na sehemu ya Libya hata Kirene, na wageni kutoka Rumi, \v 11 Wayahudi na waongofu, Wakrete na Waarabu, tunawasikia wakizungumza katika lugha zetu kuhusu kazi za uweza wa Mungu." \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 436253b..7374b79 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -50,6 +50,7 @@ "01-24", "02-title", "02-01", + "02-08", "02-12", "02-14", "02-16",