Thu Jun 30 2022 15:24:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-30 15:24:25 +03:00
parent 1ee39c9def
commit eba3605f0a
2 changed files with 2 additions and 5 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 15 Lakini baada ya kuwa walipokuwa wamewaamuru mitume waondoke mbele ya mkutano wa baraza, walizungumza wao kwa wao. \v 16 Walisema, tuwafanyeje watu hawa? Ni kweli kwamba muujiza wa ajabu umefanyika kupitia wao unajulikana na kila mmoja anayeishi Yerusalemu, na hatuwezi kulikataa hilo. \v 17 Lakini, ili kwamba jambo hili lisienee miongoni mwa watu, acha tuwaonye wasinene tena kwa mtu yeyote kwa jina hili. \v 18 Hatimaye waliwaita Petro na Yohana ndani na kuwaamuru kamwe wasinene wala kufundisha kwa jina la Yesu.
=======
\v 15 Lakini walipokuwa wamekwisha kuwaamuru mitume waondoke mbele ya mkutano wa baraza, walizungumza wao kwa wao. \v 16 Walisema, "tutawafanyaje watu hawa? Ni kweli kwamba muujiza wa ajabu umefanyika kupitia wao unajulikana na kila mmoja anayeishi Yerusalemu; hatuwezi kulikataa hilo. \v 17 Lakini, ili kwamba jambo hili lisienee miongoni mwa watu, hebu tuwaonye wasinene tena kwa mtu yeyote kwa jina hili." \v 18 Ndipo waliwaita Petro na Yohana ndani na kuwaamuru kamwe wasinene wala kufundisha kwa jina la Yesu.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c
\v 15 Lakini baada ya kuwa walipokuwa wamewaamuru mitume waondoke mbele ya mkutano wa baraza, walizungumza wao kwa wao. \v 16 Walisema, tuwafanyeje watu hawa? Ni kweli kwamba muujiza wa ajabu umefanyika kupitia wao unajulikana na kila mmoja anayeishi Yerusalemu, na hatuwezi kulikataa hilo. \v 17 Lakini, ili kwamba jambo hili lisienee miongoni mwa watu, acha tuwaonye wasinene tena kwa mtu yeyote kwa jina hili. \v 18 Hatimaye waliwaita Petro na Yohana ndani na kuwaamuru kamwe wasinene wala kufundisha kwa jina la Yesu.

View File

@ -59,6 +59,7 @@
"04-08",
"04-11",
"04-13",
"04-15",
"04-19",
"04-21",
"04-32",