Fri Jul 08 2022 23:10:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-08 23:11:01 +03:00
parent 85aaa11175
commit eb7c1afe8c
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Lakini palikuwepo na mtu fulani katika mji ule aliyeitwa Simon, ambaye hapo awali alikuwa akifanya uchawi; alioutumia kuwashangaza watu wa taifa la Samaria, wakati akisema kuwa yeye ni mtu wa muhimu. \v 10 Wasamaria wote kutoka mdogo hadi mkubwa, walimwangalia kwa makini; wakasema;"mtu huyu ni ile nguvu ya Mungu ambayo ni kuu." \v 11 Wakamsikiliza kwa maana aliwashangaza muda mrefu kwa uchawi wake.
\v 9 Lakini palikuwepo na mtu fulani katika mji ule aliyeitwa Simon, ambaye hapo awali alikuwa akifanya uchawi; alioutumia kuwashangaza watu wa taifa la Samaria, wakati wakidai kuwa yeye alikuwa ni mtu wa muhimu. \v 10 Wasamaria wote kutoka mdogo hadi mkubwa, walimwangalia kwa makini; wakasema;"mtu huyu ni ile nguvu ya Mungu ambayo ni kuu." \v 11 Wakamsikiliza kwa maana aliwashangaza muda mrefu kwa uchawi wake.

View File

@ -149,6 +149,7 @@
"08-01",
"08-04",
"08-06",
"08-09",
"08-12",
"08-14",
"08-18",