Sat Jun 04 2022 15:35:15 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-04 15:35:17 +03:00
parent 9cebc43b4f
commit e739013871
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Tunapaswa tufanye nini? Bila shaka watasikia kwamba wewe umekuja. \v 23 Hivyo fanya kile sisi tunachokuambia sasa tunao watu wanne ambao wameweka nadhiri. \v 24 Wachukue watu hawa na ujitakase mwenyewe pamoja nao, na uwalipie gharama zao, ili waweze kunyoa vichwa vyao. Hivyo kila mmoja apate kujua kwamba mambo waliyoambiwa kuhusu wewe ni ya uongo. Watajifunza kwamba wewe pia unafuata sheria.
\v 22 Tunapaswa tufanye nini? Bila shaka watasikia kwamba wewe umekuja. \v 23 Hivyo fanya kile sisi tunachokuambia sasa. Tunao watu wanne ambao wameweka nadhiri. \v 24 Wachukue watu hawa na ujitakase mwenyewe pamoja nao, na uwalipie gharama zao, ili waweze kunyoa vichwa vyao. Hivyo kila mmoja apate kujua kwamba mambo waliyoambiwa kuhusu wewe ni ya uongo. Watajifunza kwamba wewe pia unafuata sheria.