Sat Apr 09 2022 18:22:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-09 18:22:16 +03:00
parent 20ffa96ee1
commit e45e988aa0
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, mwendo wa kilomita moja. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote walijitolea kwa umoja, kwa kusudi la kuendelea katika maombi. pamoja na hao walikuwepo wanawake, Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, mwendo wa kilomita moja. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote walijitolea kwa umoja, kwa kusudi la kuendelea katika maombi. Pamoja na hao walikuwepo wanawake, Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.