Tue May 24 2022 12:46:44 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
15b33b6dbe
commit
daac91e5b3
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 9 Kisha Petro akamwambia, "Inakuwaje kwamba mmekukwa pamoja kumjaribu Roho wa Bwana? Angalia, miguu ya wale waliomzika mme wako iko mlangoni, na watakubeba na kukupeleka nje." \v 10 Ghafla akadondoka miguuni pa Petro, akakata roho, na wale vijana wakaja ndani wakamkuta ameshakufa. Wakambeba kumpeleka nje, na kumzika karibu na mmewe. \v 11 Hofu kubwa ikaja juu ya kanisa zima, na juu ya wote walioyasikia mambo haya.
|
||||
\v 9 Kisha Petro akamwambia, "Inakuwaje kwamba mmekubaliana kwa pamoja kumjaribu Roho wa Bwana? Angalia, miguu ya wale waliomzika mme wako iko mlangoni, na watakubeba na kukupeleka nje." \v 10 Ghafla akaanguka miguuni pa Petro, akakata roho, na wale vijana wakaja ndani wakamkuta ameshakufa. Wakambeba kumpeleka nje, na kumzika karibu na mmewe. \v 11 Hofu kubwa ikaja juu ya kanisa zima, na juu ya wote walioyasikia mambo haya.
|
Loading…
Reference in New Issue