Thu Jun 16 2022 11:28:58 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 11:28:59 +03:00
parent 4a4e62666c
commit d5450101d7
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Yeye ndiye ambaye lazima mbingu zimpokee mpaka wakati wa kurejeshwa kwa vitu vyote, ambavyo Mungu alizungumzia kutoka zamani za kale kupitia kwa vinywa vya manabii watakatifu. \v 22 Hakika Musa alisema, 'Bwana Mungu atainua nabii kama mimi kutoka katika ndugu zenu. Lazima mtasikiliza kila kitu ambacho atawaambia ninyi. \v 23 Itatokea kwamba kila mtu ambaye hasikilizi kwa nabii huyo ataangamizwa kabisa atoke kati ya watu.'
\v 21 Yeye ndiye ambaye lazima mbingu zimpokee mpaka wakati wa kurejeshwa kwa vitu vyote, ambavyo Mungu alizungumzia kutoka zamani za kale kupitia kwa vinywa vya manabii watakatifu. \v 22 Hakika Musa alisema, 'Bwana Mungu atainua nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu. Lazima mtasikiliza kila kitu ambacho atawaambia ninyi. \v 23 Itatokea kwamba kila mtu ambaye hasikilizi kwa nabii huyo ataangamizwa kabisa atoke kati ya watu.'