diff --git a/14/19.txt b/14/19.txt index f45ac1c..628b2ef 100644 --- a/14/19.txt +++ b/14/19.txt @@ -1 +1 @@ -\v 19 Lakini baadhi ya Wayahudi kutoka Antiokia na Ikonio walikuja kuushawishi umati. Wakampiga mawe Paulo na kumburuta hadi nje ya mji, wakidhani alikuwa amekufa. \v 20 Hata hivyo wanafunzi walikuwa wamesimama karibu naye, aliamka, wakaingia mjini. Siku ya pili, aliende Derbe na Barnaba. \ No newline at end of file +\v 19 Lakini baadhi ya Wayahudi kutoka Antiokia na Ikonio walikuja kuushawishi umati. Wakampiga mawe Paulo na kumburuta hadi nje ya mji, wakidhani alikuwa amekufa. \v 20 Hata hivyo wanafunzi walikuwa wamesimama karibu naye, aliamka, na akaingia mjini. Siku inayofuata, alienda Derbe na Barnaba. \ No newline at end of file