Thu Jun 16 2022 00:22:19 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 00:22:20 +03:00
parent 03ed0c25f5
commit cd7a89ff31
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 2 \v 1 Ilipofika siku ya Pentekoste, wote walikuwa mahali pamoja. \v 2 Ghafla sauti kama ya mwendo kasi wa upepo mkali kutoka mbinguni ukaijaza nyumba yote walimokuwa wameketi. \v 3 Hapo zikawatokea ndimi, kama za moto zimegawanyika, zikatua juu ya kila mmoja wao. \v 4 Wao wote wakajazwa na Roho Mtakatifu na wakaanza kusema kwa lugha zingine, kama vile Roho alivyowapa kunena.
\c 2 \v 1 Ilipofika siku ya Pentekoste, wote walikuwa mahali pamoja. \v 2 Ghafla sauti kama ya mwendo kasi wa upepo mkali kutoka mbinguni ukaijaza nyumba yote walimokuwa wameketi. \v 3 Hapo zikawatokea ndimi kama za moto zimegawanyika, zikatua juu ya kila mmoja wao. \v 4 Wao wote wakajazwa na Roho Mtakatifu na wakaanza kusema kwa lugha zingine, kama vile Roho alivyowapa kunena.